TANGAZO

Sunday, December 6, 2015

NSSF ilivyoshiriki maonesho ya Jua Kali viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam

Ofisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kushoto) akitoa maelezo kuhusu viwanja vya vinavyouzwa na NSSF vilivyopo Kiluvya A, Kisarawe wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu)
Ofisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kushoto) akitoa maelezo kuhusu viwanja vya vinavyouzwa na NSSF vilivyopo Kiluvya A, Kisarawe wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.  

Ofisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango (kulia) akimuelekeza mjasiriamali, Abdulnuru Mbeo namna ya kujaza fomu ya kujiunga na uanachama wa hiari wa NSSF wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. 
Ofisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango (kulia) akiwaelekeza namna ya kujaza fomu ya kujiunga na NSSF wanachama wapya waliojiunga na mfuko huo wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment