TANGAZO


Tuesday, December 8, 2015

Katibu Mtendaji BAKITA amkabidhi kamusi kuu mpya ya kiswahili Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel (kulia), akikabidhiwa kamusi kuu mpya ya Kiswahili kutoka kwa Katibu Mtendaji kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Selemani Sewangi. Kamusi hiyo, mpya ina jumla ya maneno makuu zaidi ya elfu thelathini na sita (36000) na kurasa 1264. 
Katibu Mtendaji kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Selemani Sewangi (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel kwa baadhi ya maneno ambayo yapo katika kamusi mpya iliyotolewa na baraza hilo leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment