Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makala akisalimiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutembelea idara mbalimbali hospitalini hapo.
|
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala akitia saini katika kitabu cha wageni maara baada ya kuwasili katika Hosptali ya Rufaa ya Mawenzi mkaoni Kilimanjaro.
|
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Hajati, Dkt Mtumwa Mwako akifanya utamburisho wa watumishi wa hosptali hiyo katika ukumbi mdogo wa mikutano hospitalini hapo.
|
Baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi ya mkoani Kilimanjaro.
|
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akizungumza jambo katika kikao cha mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala na watumishi wa Hopstali ya rufaa ya Mawenzi.
|
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi Dkt. Bingilaki Rwezaula (kushoto) akiwa na watumsihi wengine wa hospitali hiyo.
|
Katibu wa Hosptali ya Rufaa ya Mawenzi, Boniface Lyimo akisoma taarifa ya hospitali hiyo kwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala (hayupo pichani)
|
Baadhi ya wakuu wa vitengo mbalimbali katika hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, mkoani Kilimanjaro.
|
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala akizungumza na watumishi wa Hopstali ya Rufaa ya Mawenzi mara baada ya kutembelea hosptali hiyo.
|
Badhi ya watumishi katika hospitali hiyo.
|
RC Makala akizunguza na watumishi.
|
RC Makala akizungumza na mmoja wa wzee waliofikisha wagonjwa wao katika hospitali ya Mawenzi.
|
RC Makala akizungumza na mmoja wa wauguzi katika hospitali hiyo,kushoto ni mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Hajati,Dkt Mtumwa Mwako.
|
RC Makala akiwajulia hali wagonjwa waliofika katika hospitali hiyo kujipatia huduma ya matibabu.
|
Mganga Mfawidhi wa Hopstali ya Rufaa ya Mawenzi, Dkt. Bingilaki Rwezaula akimuelekeza maeneo mbalimbali mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala alipotembelea hospitalini hapo.
|
RC Makala akizungumza na mmoja wa wazee waliofika katika hospitali hiyo kupata matibabu.
|
RC Makala akitizama hali ya wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi.
|
RC Makala akitembelea kitengo kinachoshughulika na bima ya afya.
|
RC Makala akizungumza jambo na mkuu wa idara ya Bima ,Dkt Saganda katika hospitali hiyo.
|
RC Makala akizungumza na mmoja wa wagonjwa waliopo katika hospitali hiyo.
|
Wodi ya kina mama.
|
RC Makala akisalimiana na mmoja wa wauguzi wa zamu katika hospitali hiyo.
|
RC Makala akizungumza na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya kina baba.
|
RC Makala akizungumza na madkarai wa zamu katika hospitali ya Mawenzi.
|
RC Makala akimsikiliza mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya Majeruhi katika hospitai hiyo.
|
RC Makala akitoa maelekezo kwa mkuu wa wilaya ya Moshi, Makunga baada ya kupata maelezo toka kwa mmoja wa wagonjwa katika hospitali hiyo namna alivyojeruhiwa.
|
RC Makala akitoka katika wodi ya wagonjwa wa akili hosptalini hapo.
|
RC Makala akiwa katika wodi ya watoto katika hospitali ya Mawenzi.
|
RC Makala akitembelea jengo jipya la wodi ya wazazi linalojengwa katika hospitali hiyo.
|
No comments:
Post a Comment