Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiambatana na Katibu Mkuu
Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile jana alipotembelea ofisi za Wizara ya Fedha.
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile wakati wa ziara hiyo jana jijini Dar es Salaam.
|
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na uongozi wa Wizara ya Fedha jana jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment