TANGAZO


Monday, November 9, 2015

Arsenal, Spurs hakuna mbabe


Image copyrightReuters

Arsenal wakicheza katika uwanja wao wa Emirate walikwenda sare ya kufungana bao 1-1 na klabu ya Tottenham.
Spurs ndio walianza kuandika bao la mapema kupitia kwa mshambuliji wake Harry Kane katika dakika ya 32 ya mchezo.
Arsenal walizinduka na kusawazisha bao hilo katika Dakika ya 77 kupitia beki Kieran Gibbs alieingia Dakika ya 74 ya kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Joe Campbell.
Nako huko Anfield, Majogoo Liverpool walipata kipachapo cha mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace, mabao ya Palace yalifungwa na Yannick Bolasie na Scott Dann.
huku bao pekee la kufutia machozi la Liverpool likifungwa na kiungo wa kibrazil Philippe Coutinho.

No comments:

Post a Comment