Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais.
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais.
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mhe. Anna Mghwira na wagombea wengine wakiwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais.
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na wagombea wengine wakielekea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais.
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan na Mhe Anna Mghwira na wagombea wengine wakielekea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais.

Viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya Jaji Damia Lubuva wakiwa tayari katika sehemu yao.
Meza kuu.
Mke wa Rais Mteule Mama Janet Mgufuli akisalimiana na Waziri wakuu wastaafu Mzee John Malecela na Jaji Joseph Sinde Warioba.
Mama Janet Magufuli akisalimiana na Mama Salma Kikwete.
Rais Kikwete akisalimiana na Mama Janet Magufuli.
Mkrugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani akisoma muhtasari wa ratiba.
Meza ya viongozi.
Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Sehemu ya viongozi wa taasisi mbalimbali na wastaafu.
Viongozi wa Taasisi mbalimbali.
Viongozi wa Taasisi mbalimbali.
Viongozi wa Taasisi mbalimbali.
Viongozi wa Taasisi mbalimbali na wananchi waliohudhuria.
Viongozi wa Taasisi mbalimbali.
Viongozi mbalimbali.
Viongozi wa Taasisi mbalimbali.
Viongozi wa Taasisi mbalimbali.
Viongozi wa Taasisi mbalimbali za umma na binfasi.
Viongozi wa asasi mbalimbali za umma na binafsi.
Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing akiwa ameketi na wananchi.
Sehemu ya wananchi na makada wa CCM.
Sehemu ya wananchi na makada wa CCM.
Sehemu ya wananchi na makada wa CCM.
Wanahabari wakichukua habari na matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitokea katika hafla hiyo.
Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi.
Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi.
Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi.
Wanahabari na wananchi wakiwa katika hafla hiyo.
Wananchi wakiwa na furaha.
Wananchi wakiwa katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake.
Wananchi wakimsikiliza Jaji Damina Lubuva.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake.
Viongozi wa dini na wananchi wakisikiliza.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake.
Vifijo toka kwa viongozi.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hati kabla ya kuikabidhi wa Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hati kabla ya kuikabidhi wa Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani.
Wanahabari wa ndani na nje ya nchi wakirekodi tukio hilo la kihistoria.
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha hai ya Urais akiwa na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan, Jaji Damian Lubuva na Mhe Kailima Ramadhani.
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha hai ya Urais akiwa na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan, Jaji Damian Lubuva na Mhe Kailima Ramadhani.
Viongozi wakishuhudia tukio hilo kwa furaha.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Lubuva akisoma hati ya Makamu wa Rais.
Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akipokea hati yake.
Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha hati yake.
Rais Mteule na Makamu wake mteule wakipongezwa baada ya kukabidhiwa hati.
Rais mteule akipongezwa na waliokuwa wagombea wa Urais wa vyama vingine.
Rais Mteule Dk. Magufuli akimuonesha Mhe Anna Mghwira cheti cha Urais.
Rais Kikwete akimpongeza Rais Mteule.
"...Cheti ndiyo hiki...." anasema Rais Mteule kwa Rais Kikwete.
Wakikionesha cheti kwa furaha.
"....Huyu ndiye our new boss..." anasema Rais Kikwete.
Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais.

Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais na kupeana mikono na Rais wa Zamani wa Nigeria Mhe Goodluck Jonathan.
Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais kwa mabalozi.
Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais.
Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa.
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mhe Anna Mghwira akiongea kwa niaba ya wagombea wengine wa vyama mbalimbali walioshiriki kwenye kugombea Urais.
Wanahabari wakiwa kazini.
Rais Mteule akimpongeza Mhe Anna Mghwira kwa hotuba nzuri.
Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa tume na vyama vya siasa.
Wateule na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Wapiga picha pamoja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, wakiwa kazini.
No comments:
Post a Comment