Mgombea Urais wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Bomang'ombe, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa Half London, Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro leo Septemba 26, 2015. (Picha zote na Othman Michuzi)
Mgombea Urais wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Bomang'ombe, katika mkutano wa kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa Half London, Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro leo Septemba 26, 2015.

Mgombea Urais wa Tanzania wa Ukawa kupitia Chadema Mh. Edward Lowassa, akiwa amembeba mtoto Sayuni Nassary, mara baada ya mkutano wa kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa Half London, Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro leo Septemba 26, 2015. Kushoto ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe.
Mgombea Urais wa Tanzania wa Ukawa kupitia Chadema Mh. Edward Lowassa, akiwa amembeba mtoto Sayuni Nassary, mara baada ya mkutano wa kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa Half London, Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro leo Septemba 26, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa Ukawa kupitia Chadema Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama hicho, Mh. Freeman Mbowe, wakiwapungia wananchi wa Mji wa Bomang'ombe, Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro leo Septemba 26, 2015.

No comments:
Post a Comment