Pages

Saturday, September 26, 2015

Mama Samia afungua Kongamano la Wanawake wa Vyuo Vikuu na Wanataaluma jijini Dar es Salaam leo

Mgeni rasmi katika Kongomano la wanawake Mhe. Samia Suluhu akiingia katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kusikiliza mada mbalimbali zilizoandaliwa na wanawake wa vyuo vikuu,wataalamu pamoja na wajasiriamali leo jijini Dar es Salaam,kulia kwake ni Menyekiti wa Kamati ya Kongamano  Bi.Mary Kighalu na kushoto ni  Mjumbe wa kamati kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam Prof. Bertha Koba. (Picha zote na Lorietha Lawrence-Maelezo)
Mgeni rasmi katika Kongomano la Wanawake wa Vyuo Vikuu na WataalamWataalam lenye kauli mbiu ya “Wanawake Tumeweza,Tupewe Fursa” Mhe. Samia Suluhu akiingoza meza kutoa heshima ya kumbukumbu ya kifo kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi Mhe.Celina Kombani kabla ya kuanza kwa kongamano hilo jijini Dar es Salaam ,ambapo  mada mbalimbali zilijadiliwa ikiwemo Elimu na Uchumi,Huduma za jamii na Mwanamke na umilikaji wa Rasilimali. 
Mjumbe wa Kamati kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Bertha Koba akiwasalimia wanawake waliofika  katika Kongomano la Wanawake wa Vyuo Vikuu na Wataalam lenye kauli mbiu ya “Wanawake Tumeweza,Tupewe Fursa” ambapo mada mbaklimbali ikiwemoElimu na Uchumi, Huduma za jamii na Mwanamke na umilikaji wa Rasilimali. 
Mjumbe wa Kamati kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Bertha Koba, akisoma risala ya kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Kongamano la  wanawake wa Vyuo Vikuu na Wataalam  ambapo  mada mbaklimbali zilijadiliwa ikiwemo Elimu na Uchumi, Huduma za jamii  na Mwanamke na umilikaji wa Rasilimali. 
Mgeni rasmi katika Kongomano la wanawake wa Vyuo Vikuu na Wataalam  Mhe. Samia Suluhu akiongea na wanawake walihudhuria kongamano hilo jijini Dar es Salaam. 
Wanawake wajasiriamali,wajumbe wa vyuop vikuu na wataalam wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizowakilishwa katika kongamano la wanawake wa Vyuo Vikuu na Wataalam lenya kauli mbiu “Wanawake Tumeweza,Tupewe Fursa” leo jijini Dar es Salaam. 
Wanawake wajasiriamali,wajumbe wa vyuop vikuu na wataalam wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizowakilishwa katika kongamano la wanawake wa Vyuo Vikuu na Wataalam lenya kauli mbiu “Wanawake Tumeweza,Tupewe Fursa” leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment