TANGAZO


Sunday, September 27, 2015

Je Catalonia itajitenga na Uhispania ?

Image copyrightAP
Image captionZaidi ya watu milioni tano wamejiandikisha kupiga kura .
Watu wa eneo la Catalonia nchini Uhispania wameanza kupiga kura katika uchaguzi uunaotazamwa kuwa mtihani mkubwa wa kuunga mkono Uhuru wa eneo hilo tajiri.
Zaidi ya watu milioni tano wamejiandikisha kupiga kura .
Wanachama wa vyama vya Catalan, wanaotaka kujitenga na ambao wanaongoza katika kura ya maoni wanasema kuwa ushindi utavipa vyama vyao uwezo wa kutangaza
Image copyrightAP
Image captionJe Catalonia itajitenga na Uhispania ?
kwa kauli moja uhuru wao.
Serikali ya Uhispania ambayo inakataa kata kata kukubalia shughuli hizo za upigaji wa kura ya maoni kuhusiana na swala hilo imetaja kura hiyo ya maoni kama upuzi
Image copyrightGetty
Image captionKocha wa Bayern Munich Pep Guardiola akipiga kura
mtupu.
Uchaguzi huo unaonekana kama swala muhimu katika historia ya hivi punde ya Uhispania.

No comments:

Post a Comment