TANGAZO


Monday, August 10, 2015

Uzinduzi wa Kantini ya Kisasa ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma

Keki rasmi iliyotumika wakati wa uzinduzi wa kantini ya kisasa ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. (Picha zote na Happy Shayo-Utumishi)
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu akimlisha keki Mmiliki wa Kampuni ya Runners Catering  inayotoa Huduma ya Chakula Bi. Nuru Nassib mara baada ya kuzindua rasmi kantini ya kisasa ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma mapema leo.  
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu akimlisha keki Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Utumishi Bw. Aloyce Msigwa mara baada ya kuzindua kantini ya kisasa ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi mapema leo. 
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu akilishwa keki na Mmiliki wa Kampuni ya Runners Catering  inayotoa Huduma ya Chakula Bi. Nuru Nassib mara baada ya kuzindua rasmi kantini ya kisasa ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma mapema leo. 
Wahudumu wa Kampuni ya Runners Catering inayotoa Huduma ya Chakula  wakiendelea kutoa huduma mara baada ya uzinduzi wa kantini ya kisasa ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma mapema leo. 
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu (katikati) akizungumza na Watumishi wa Ofisi ya Rais - Utumishi na Mmiliki wa Kampuni ya Runners Catering  inayotoa Huduma ya Chakula Bi. Nuru Nassib (kulia) wakati wa uzinduzi wa  kantini ya kisasa ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma mapema leo. 
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu akikata utepe kuzindua rasmi kantini ya kisasa ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma baada ya ukarabati. 
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu na baadhi ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais, Utumishi wakipewa huduma na wahudumu wa Kampuni ya Runners Catering  inayotoa Huduma ya Chakula baada ya kuzindua rasmi kantini ya kisasa ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma mapema leo. 
Taswira ya moja ya sehemu ya kantini ya kisasa ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

No comments:

Post a Comment