TANGAZO

Thursday, August 13, 2015

Shule ya Msingi ya Mbagala jijini Dar es Salaam yanufaika na mradi wa Benki ya KCB Tanzania wa madawati 100

Wanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Mbagala wakimsikiliza Ofisa Uhusiano wa Benki ya KCB tawi la Samora jijini Dar es Salaam,Luiana Merro  wakati alipokuwa akiwasisitiza wanafunzi hao kutunza madawati 100 yaliyotolewa msaada na benki.Benki hiyo inaendelea na mradi wake wa kutoa msaada wa madawati 1000 katika shule kumi za msingi za mkoa wa Dar es Salaam. 

Mfanyakazi wa benki ya KCB  Tanzania tawi la Samora,Fabian Qwaray akiwafafanulia jambo wanafunzi wa darasa la sita wa shule ya msingi mbagala baada ya kuwakabidhi msaada wa madawati 100. Benki hiyo inaendelea na mradi wake wa kutoa msaada wa madawati 1000 katika shule kumi za msingi za mkoa wa Dar es Salaam. 
Ofisa Uhusiano wa Benki ya KCB tawi la Samora, Luiana Merro (kulia) akisaidiana kubeba madawati kati ya 100 na baadhi ya wanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Mbagala jijini Dar es Salaam yaliyotolewa msaada na benki hiyo. Benki hiyo inaendelea na mradi wake wa kutoa msaada wa madawati 1000 katika shule kumi za msingi za mkoa wa Dar es Salaam. 
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbagala jijini Dar es Salaam,wakifurahia wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa madawati 100 na Benki ya KCB Tanzania,kupitia mradi wake wa kutoa msaada wa madawati 1000 katika shule kumi za msingi za Mkoa wa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment