TANGAZO

Friday, August 7, 2015

Mkutano wa Baraza Kuu Maalum la UWT mjini Dodoma leo

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, akionesha kwenye nguo yake aliyoivaa maandishi yanayosema Baki CCM Mchepuko sio dili kwa wajumbe wa Baza Kuu Maalum la umoja huo, mjini Dodoma leo. (Picha zote na Jhn Banda, Dodoma)
Baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wakiwa katika kikao maalum cha Baraza Kuu, mjini Dodoma leo. 
Baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wakipunga mkono wakati wa kikao maalum cha Baraza Kuu, mjini Dodoma leo. 
Baadhi ya wajumbe wa NEC kutoka Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wakiwa katika kikao maalum cha Baraza Kuu, mjini Dodoma leo. 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, maalum wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wakiwa katika kikao hicho, mjini Dodoma leo. 

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa CCM, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, akizungumza jambo wakati wa mkutano huo.
Wapambe wa wagombea wa nafasi mbalimbali za UWT, wakishangilia nje ya ukumbi wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment