*Asema anaendelea vizuri
*Anaweza kutoka wakati wowote
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akizungumza na waandishi wa habari akiwa Kitengo cha Magonjwa ya Moyo cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akielezea kuhusu kilichomsibu wakati alipokuwa katika msafara wa uchukuaji wa fomu za kuomba kuteuliwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia chama hicho, Edward Lowassa jijini juzi hadi kukimbizwa hospitali. Nyuma ni Madaktari Bingwa wa magonjwa ya moyo, kutoka kushoto, Dk. Mlana Maneno, Dk. Bashir Nyansasa, Dk. Tulizo Shemu na Ofisa Uhusiano wa MNH, Aminiel Aligaeshi. Kulia waliokaa ni Meneja wa kitengo hicho, Salome Kasanga na Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe, akizungumza na waandishi wa habari akiwa Kitengo cha Magonjwa ya
Moyo cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam leo,
wakati alipokuwa akielezea kuhusu kilichomsibu wakati alipokuwa katika
msafara wa uchukuaji wa fomu za kuomba kuteuliwa mgombea wa nafasi ya
Urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia chama hicho, Edward
Lowassa jijini juzi hadi kukimbizwa hospitali. Kulia ni Meneja wa kitengo hicho, Salome Kasanga.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe, akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano huo, akiwa Kitengo cha Magonjwa ya
Moyo cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akitoka kuzungumza na waandishi wa habari akiwa Kitengo cha Magonjwa ya Moyo cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa,Mwenyekiti wa Chama chaNCCR-Mageuzi, James Mbatia.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe, akirudi wodini baada ya kuzungumza na waandishi wa habari Kitengo cha
Magonjwa ya Moyo cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es
Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe, akielekea wodini baada ya kuzungumza na waandishi wa habari Kitengo cha
Magonjwa ya Moyo cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es
Salaam leo.
Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo.
Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James
Mbatia, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment