TANGAZO


Thursday, July 2, 2015

Watia nia wa CCM waendelea kurejesha fomu za kuomba kuteuliwa kwa nafasi ya Urais

Balozi Chokala akirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Rajabu Luhavi, mjini Dodoma leo. (Picha zote na John Banda, Dodoma)
Kada wa CCM, Banda Sonoko (kulia), akirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama chake cha CCM kwa nafasi ya Urais kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Rajabu Luhavi, mjini Dodoma leo.
Kada wa CCM, Hellen (kulia), akirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama chake cha CCM kwa nafasi ya Urais kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Rajabu Luhavi, mjini Dodoma leo. 

Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia), akirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama chake cha CCM kwa nafasi ya Urais kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Rajabu Luhavi, mjini Dodoma leo. 

Kada wa CCM, Mussa Mapongo (kulia), akirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama chake cha CCM kwa nafasi ya Urais kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Rajabu Luhavi, mjini Dodoma leo. 

Kada wa CCM, William Ngeleja (kulia), akirejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama chake cha CCM kwa nafasi ya Urais kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Rajabu Luhavi, mjini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment