TANGAZO

Monday, July 13, 2015

Wananchi wanaoshukiwa kuwa Majambazi wanaswa na Polisi Mnara wa Saa jijini Dar es Salaam

Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbarani Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam jana mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa wanne. 

Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa. 
Watuhumiwa hao wanne wa  ujambazi  wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi. 
Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa kuwadhibiti majambazi hayo, kabla ya kujificha chini ya uvungu wa taxi zinazoegeshwa jirani na Mnara wa Saa katika makutano ya barabara ya Uhuru, Samora na Nkruma, Dar es Salaam. 
Wananchi wakilishangaa gari walilokuwa wakilitumia majambazi hayo.  
Wananchi wakiwa eneo la tukio na Askari polisi wakilikagua gari walilokuwa wakilitumia majambazi hayo.  
Askari Polisi wakilikagua gari walilokuwa wakilitumia majambazi hayo.  
Gari lenye namba T 976 BKK walilokuwa wakitumia majambazi hayo likiondolewa eneo la tukio kupelekwa Polisi.
Gari lenye namba T 976 BKK walilokuwa wakitumia majambazi hayo likiondolewa eneo la tukio kupelekwa polisi.

No comments:

Post a Comment