Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prisca Komba(kulia)akila chakula pamoja na baadhi ya wazazi na watoto wanaoishi katika kambi ya wakimbizi iliyopo Nyaragusu wilaya ya Kasuru Mkoa wa Kigoma.wakati alipotembelea kambi hiyo chini ya udhamini wa Vodacom Foundation kwenda hivi karibuni kutathmini kama kuna unyanyasaji wa kijinsia miongoni mwa wakimbizi wa Burundi na Kongo waliopo katika kambi hiyo.
Baadhi ya Maofisa wa jeshi la polisi kitengo cha dawati la jinsia Nyarugusu wilaya ya Kasuru Mkoa wa Kigoma na maofisa wa kambi ya wakimbizi ya mkoani humo,wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prisca Komba(wapili toka kushoto) Wakati alipotembelea kambi hiyo chini ya udhamini wa Vodacom Foundation kwenda hivi karibuni kutathmini kama kuna unyanyasaji wa kijinsia miongoni mwa wakimbizi wa Burundi na Kongo waliopo katika kambi hiyo.

No comments:
Post a Comment