Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kadi ya Uanachama, uanachama wa Simba Mtoto na Bima za maisha kwa kila mwanachama wa timu ya Simba. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa EAG group, watengenezaji wa kadi hizo, Imani Kajula na kulia ni Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu'. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa EAG group, watengenezaji wa kadi hizo, Imani Kajula, akizungumza katika mkutano huo, wakati akitoa ufafanuzi wa kadi hizo.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa EAG group, watengenezaji wa kadi hizo, Imani Kajula (kushoto) na Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu', wakiionesha kadi mpya ya uanachama wa Klabu ya Simba.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa EAG group, watengenezaji wa kadi hizo, Imani Kajula (kushoto) na Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu', wakiionesha kadi mpya ya uanachama watoto (Simba Cubs) wakati wa uzinduzi huo.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, akimkabidhi kadi ya uanachama wa Simba Mtoto (Simba Cubs), kijana Abdalla Mtangaza, wakati wa uzinduzi wa kadi mpya za wanachama, Simba Cubs na Bima za maisha kwa kila mwanachama wa timu hiyo, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa EAG group, watengenezaji wa kadi hizo, Imani Kajula na Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu'.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, akimkabidhi kadi ya uanachama wa Simba Mtoto (Simba Cubs), kijana Ashraf Omar.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, akimkabidhi kadi ya uanachama wa Simba Mtoto (Simba Cubs), kijana Ramadhan Manyota.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, akimkabidhi kadi ya uanachama wa Simba Mtoto (Simba Cubs), kijana Simo Malunda.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, akimkabidhi kadi ya uanachama wa Simba Mtoto (Simba Cubs), kijana Iqram Ally.
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, akimkabidhi kadi ya uanachama wa Simba Mtoto, kijana Terrance Peter.
Mwanachama Mussa Kova, akikabidhiwa kadi mpya ya wakubwa na Rais wa Klabu ya Simba, Evan Aveva, wakati wa uzinduzi huo, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa EAG group, watengenezaji wa kadi hizo, Imani Kajula na Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu'.
Watoto, waliokabidhiwa kadi ya Simba Cub, wakizionesha kadi hizo, huku nyuma yao wakiwepo viongozi wa Simba na wa EAG group, mara baada ya kukabidhiwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, wakati wa uzinduzi wa kadi mpya za wanachama, Simba Cubs na Bima za maisha kwa kila mwanachama wa timu hiyo, Dar es Salaam leo
Watoto, waliokabidhiwa kadi ya Simba Cub, wakizionesha kadi hizo, Dar es Salaam leo.

No comments:
Post a Comment