Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam, wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya 20, zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo.
Mkuu wa Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto), akimkabidhi msaada wa moja ya Kompyuta kati ya 20, Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam. Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo,Anayeshuhudia katikati ni Mwalimu wa somo la kopmyuta katika shule hiyo Sixbert Masero.
Mwanafunzi wa darasa la saba wa shule ya msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam, Upendo Kujerwa (kulia), akionesha moja ya kompyuta kati ya 20, zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation kupitia mkuu wa taasisi hiyo Renatus Rwehikiza (kushoto), katikati ni Mwanafunzi wa shule hiyo Erick Uledi. Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo.
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam, wakiwa na nyuso za furaha na kompyuta zao 20, walizopewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza (hayupo pichani) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo.

No comments:
Post a Comment