TANGAZO


Wednesday, July 22, 2015

Kombe la Kagame: Azam waipiga bao 2-0 Malakia ya Sudan Kusini, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Golikipa wa Malakia akiruka juu kuudaka mpira uliokuwa ukielekea langoni mwake huku John Bocco wa Azam FC akimfuata karibu yake. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Salum Abubakar wa Azam FC, akipiga krosi kuelekea langoni mwa ti mu ya Malakia ya Sudani Kusini, huku akifuatwa na Lubari Zeriba Ibrahim. 
Shomari Kapombe wa Azam, akiumiliki mpira huku akifuatwa na Wisely Onguso Arasa wa Malakia. 
Shomari Kapombe wa Azam na Wisely Onguso Arasa wa Malakia, wakiwania mpira.
Shomari Kapombe wa Azam na Wisely Onguso Arasa wa Malakia, wakiwania mpira huo.
Wisely Onguso Arasa wa Malakia, akiudhibiti mpira huku nyuma akizongwa na Shomari Kapombe wa Azam FC.
Wisely Onguso Arasa wa Malakia, akiendelea kuudhibiti mpira huku nyuma akizongwa na Shomari Kapombe wa Azam FC. 
Wisely Onguso Arasa wa Malakia na Shomari Kapombe wa Azam FC, wakiendelea kupambana kuwania mpira.

Soh Koodjou Mfomo wa Malakia, akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Shomari Kapombe wa Azam FC, huku Wisely Onguso (kulia), akijiweka tayari kutoa msaada. 
Wachezaji wa Azam FC wakipongezana mara baada ya John Bocco kuipatia timu hiyo bao la kwanza. 
John Bocco wa Azam FC, akiudhibiti mpira kwa kichwa huku akizongwa na Yengo Son Ngum wa Malakia ya Sudan Kusini, wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Azam ilishinda mabao 2-0.  
John Bocco wa Azam FC, akiukimbilia mpira huku akifuatwa na Yengo Son Ngum wa Malakia. Hadi mwisho Azam iliibuka na ushindi wa mabao 2-0. 

Shomari Kapombe wa Azam na akipiga krosi huku akifuatwa na Wisely Onguso Arasa wa Malakia.
Shomari Kapombe wa Azam na Wisely Onguso Arasa wa Malakia, wakiwania mpira huo.





Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Wachezaji wa timu ya Malakia, wakitoka Uwanjani, wakati wa mapumziko kuelekea vyumba vya kubadilishia nguo.

No comments:

Post a Comment