Said Idrissa Said wa KMKM ya Zanzibar, akiruka juu kuupiga kicha mpira, huku akizongwa na Haruna Shakava wa Gor Mahia ya Kenya wakati wa mchezo wa Kombe la Kagame, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Gor Mahia ilishinda mabao 3-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Michael Olunga wa Gor Mahia, akifunga bao la 3 kwa timu yake hiyo dhidi ya KMKM, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Michael Olunga wa Gor Mahia, akishangilia bao hilo.
Michael Olunga wa Gor Mahia, akishangilia bao aliloifungia timu yake hiyo dhidi ya KMKM, huku mwenzake Kagere Medie akiwa amemrukia mgongoni.
Michael Olunga akipongezana na mchezaji mwenzake Enock Agwanda huku Kagere Medie akielekea uwanjani.
Michael Olunga akipongezwa na mchezaji mwenzake Enock Agwanda.
Wachezaji wa Gor Mahia, wakitoka kushangilia bao la 3 lililofungwa na Michael Olunga (19).
Michael Olunga (19) na wenzake wakirudi uwanjani wakitoka kushangilia bao la 3 aliloifungia timu yake ya Gor Mahia.
Mashabiki wa Gor Mahia, wakishangilia bao la 3 la timu hiyo, lililofungwa na Michael Olunga.
Wachezaji wa KMKM na wa Gor Mahia wakiruka kuupiga kichwa mpira, wakati wa mchezo huo.
Enock Agwanda wa Gor Mahia, akikokota mpira huku akifuatwa na Said Idrissa Said wa KMKM ya Zanzibar.
Enock Agwanda wa Gor Mahia, akichanja mbuga na mpira,huku akifuatwa na Said Idrissa Said wa KMKM.
Enock Agwanda wa Gor Mahia na Said Idrissa Said wa KMKM wakiwania mpira.
Enock Agwanda (kushoto) wa Gor Mahia na Said Idrissa Said wa KMKM wakiwania mpira wakati wa mchezo huo.
Enock Agwanda wa Gor Mahia akiwania kumtoka Said Idrissa Said wa KMKM.
Enock Agwanda wa Gor Mahia akiwania kumtoka Said Idrissa Said wa KMKM.
Enock Agwanda (kulia) wa Gor Mahia akikimbia kuuwahi pasi huku akifuatwa na Said Idrissa Said (katikati) wa KMKM.
No comments:
Post a Comment