Mashabiki wa timu ya Yanga, wakifuatilia mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la Kagame dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Azam iliifunga Yanga kwa mikwaju ya penalti 5-3. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Jukwa la mashabiki wa timu ya Yanga, likiwa limefurika mashabiki waliokuwa wakifuatilia mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la Kagame dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa timu ya Yanga, wakiwadhihaki watani wao wa jadi Simba kwa kuonesha bango lililokuwa na picha za kuchora za Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba aliyekuwa akilia huku msemaji wa timu hiyo, Haji Manara aliyeelezwa kuwa ni Yanga damu akifurahia.
Mashabiki wa timu ya Yanga, wakishangilia timu yao, wakati wa mchezo huo leo.
Pascal Wawa wa Azam FC (kushoto), akiwania mpira wa juu Donald Ngoma wa Yanga katika mchezo huo.
Mmoja wa wachezaji wa Yanga akiwa amebebwa kwa machela baada ya kugongana na mchezaji wa Azam FC wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wa timu ya Yanga, wakifuatilia mchezo huo.
Mashabiki wa timu ya Azam FC, wakifuatilia mchezo huo wa Robo Fainali wa Kombe la Kagame dhidi ya Yanga, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Hadi mpira zinamalizika dakika 90 hakukuwa na timu iliyoliona lango la mwenzake na hivyo kwenda katika mikwaju ya penalti 5.
Hapa mlinda mlango wa Yanga, Ally Mustafa 'Barthez' akipotea na mpira uliopigwa na Kipre Tchetche wa Azam kujaa wavuni ikiwa ni penalti ya kwanza katika mchezo huo.
Hapa mlinda mlango wa Azam FC, Manula Aishi Salum, akiwa amepotea na mpira kutinga wavuni na kufanya bao kuwa 1-1.
Hapa mlinda mlango wa Azam FC, Manula Aishi Salum, akizuiya mpira uliopigwa na Haji Mwinyi wa Yanga na hivyo kuwa nyuma ya bao 3-2.
Haya ndiyo yaliyokuwa matokeo ya penalti 3-3, ambapo Yanga ilipoteza moja na kuwa mabao 3-2.
Mlinda mlango wa Yanga, Ally Mustafa 'Barthez' akijaribu kuokoa penalti ya Pascal Wawa wa Azam FC lakini ikamparaza mikononi na kutinga pembeni mwa lango lake na kuifanya Azam kuongoza kwa mikwaju 4 dhidi ya 3 ya Yanga.
Pascal Wawa wa Azam FC akishangilia bao lake la penalti.
Pascal Wawa wa Azam FC akishangilia bao lake la penalti kwa kukumbatiana na mlinda mlango wake, Manula Aishi Salum.
Haya ndiyo yaliyokuwa matokeo hadi inapigwa penalti hiyo.
Pascal Wawa wa Azam FC akizidi kushangilia bao lake hilo la penalti na mlinda mlango wao, Manula Aishi Salum.
Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakishangilia ushindi baada ya kuifunga Yanga kwa mikwaju 5-3 na kutinga hatua ya Nusu Fainali ya michuano hiyo.
Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakikimbia kwenda kushangilia ushindi baada ya kuifunga Yanga kwa mikwaju 5-3 na kutinga hatua ya Nusu Fainali ya michuano hiyo.
Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakimkimbilia mlinda mlango wao, Manula Aishi Salum kwenda kumpongeza kwa kuokoa moja ya penalti hizo za Yanga.
Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakishangilia kwa kumkumbatia mlinda mlango wao, Manula Aishi Salum mara baada ya kuilaza Yanga kwa mikwaju ya penalti 5-3, Uwanja wa Taifa, wakati wa mchezo wa kuwania kuingia Nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame, Dar es Salaam leo.

Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakiwapungia mashabiki wa Yanga baada ya kuibuka washindi katika mchezo huo kwa njia ya mikwaju ya penalti 5-3.

Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakiwapungia mashabiki wa Yanga na kukumbatiana kupongezana baada ya kuibuka washindi katika mchezo huo kwa njia ya mikwaju ya penalti 5-3.
Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakiwapungia mashabiki wa Yanga na kukumbatiana baada ya kuibuka washindi katika mchezo huo kwa njia ya mikwaju ya penalti 5-3.
Mashabiki wa Yanga, wakiwa wamepigwa na butwaa baada ya kupoteza mchezo huo wa Robo Fainali wa michuano ya Kombe la Kagame dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa Yanga, wakiwa wamepigwa na butwaa baada ya kupoteza mchezo huo wa Robo Fainali wa michuano ya Kombe la Kagame dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Taifa
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa mashabiki wa Yanga, baada ya kupoteza mchezo huo wa Robo Fainali wa michuano ya Kombe la Kagame dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

No comments:
Post a Comment