TANGAZO

Saturday, June 20, 2015

Zitto Kabwe na msafara wake waingia Mpanda

Mashabiki wa Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, wakiwa na bango la kumkaribisha kiongozi huyo mjini Mpanda, mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. 
Mwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea  na ziara ya kutambulisha viongozi wake.
Mwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea  na ziara ya kutambulisha viongozi wake.
Wakazi wa Mpanda wakiwashangilia viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, wakati walipokuwa wakiwahutubia jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwasalimia wananchi wa mji wa Mpanda, mkoani Katavi jana, alipokuwa akijitayarisha kuwahutubia, wakati viongozi wa chama hicho, wakiwa katika ziara za kutambulisha viongozi wake. 

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubi wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. 

No comments:

Post a Comment