TANGAZO

Wednesday, June 24, 2015

Yanga yaifunga Friends Rangers mabao 3-2 mchezo wa kujipima nguvu Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam

Mchezaji wa Friends Rangers, Abdul Machupa (kushoto), akiwania mpira na Salum Telelela wa Yanga, wakati wa mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu uliofanyika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda mabao 3-2. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com) 

Mchezaji Simon Msuva wa Yanga (kushoto), akiwania mpira wa juu na Stephano Mwasika wa Friends Rangers wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Yanga imeshinda mabao 3-2. 

Mchezaji Simon Msuva wa Yanga (kushoto), akituliza mpira huku akizongwa na Stephano Mwasika wa Friends Rangers wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Yanga imeshinda mabao 3-2. 

Mchezaji mpya wa Yanga, Busungu, akishangiliwa na mashabiki wa timu hiyo, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi katika mchezo huo.

No comments:

Post a Comment