Vijana wakighani Qaswida wakati wa Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Vijana wa kike wakiwa katika Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana.
Vijana wa kiume wakiwa katika Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana.
Akinamama wakiwa katika Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana.
Vijana wa kike wakiwa katika Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana.
Akinamama wakiwa katika Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana.
Vijana wa kiume wakiwa katika Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Ulamaa Qaswida Promotion Centre, waandaaji wa Tamasha la Qaswida, Jumanne Ligopora, akizungumza wakati alipokuwa akiwakaribisha waumini pamoja na wageni mbalimbali kwenye tamasha hilo.
Kijana akisoma Qur'an Tukufu wakati wa Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana.
Kijana akisoma Qur'an Tukufu wakati wa Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana.
Vijana wakighani Qaswida wakati wa Tamasha la Qaswida, Uwanja wa Sekondari ya Benjamin Mkapa, Dar es Salaam jana.
Mmoja wa Masheikh akitoa mawaidha wakati wa tamasha hilo.
Msafara wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ukiwasili Uwanja wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuwa Mgeni rasmi katika Tamasha la Qaswida, Dar es Salaam jana.
Gari la Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, likiwasili Uwanja wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuwa Mgeni rasmi katika Tamasha la Qaswida, Dar es Salaam jana.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiwapungia waumini wa Kiislamu waliomiminika Uwanja wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa kwa ajili ya Tamasha la Qaswida, Dar es Salaam jana.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akiwapungia waumini wa Kiislamu waliomiminika Uwanja wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa kwa ajili ya Tamasha la Qaswida, Dar es Salaam jana
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Ulamaa Qaswida Promotion Centre, waandaaji wa tamasha hilo, Jumanne Ligopora na kulia ni gwiji wa Qaswid nchini, Sheikh Ismail Muhamad.
Mkurugenzi wa Ulamaa Qaswida Promotion Centre, waandaaji wa tamasha hilo, Jumanne Ligopora, akizungumza wakati alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), wakati wa tamasha hilo.
Gwiji wa Qaswid nchini, Sheikh Ismail Muhamad, akimweleza jambo, mgeni rasmi wa tamasha hilo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
Mmoja wa vijana akighani Qaswida wakati wa tamasha hilo.
Mkurugenzi wa Ulamaa Qaswida Promotion Centre, waandaaji wa tamasha hilo, Jumanne Ligopora, akizungumza wakati alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kulia), wakati wa tamasha hilo.
Mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia), akimkabidhi tuzo mmoja wa Masheikh, wakati wa tamasha hilo.
Gwiji wa Qaswid nchini, Sheikh Ismail Muhamad, akizungumza na kutoa shukurani baada ya kukabidhiwa tuzo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kuzungumza.
Gwiji wa Qaswid nchini, Sheikh Ismail Muhamad, akizungumza na kutoa shukurani baada ya kukabidhiwa tuzo kisha kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kuzungumza.
Gwiji wa Qaswid nchini, Sheikh Ismail Muhamad, akimweleza jambo, mgeni rasmi wa tamasha hilo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
Sheikh Pembe, akimweleza jambo, mgeni rasmi wa tamasha hilo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, wakati akimsindikiza kuondoka katika Uwanja huo mara baada ya kutoa tuzo na kuzungumza.
No comments:
Post a Comment