Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi
(kulia) akimkabidhi zawadi ya Ngao ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema,
Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kwa niaba ya Wakuu wa
Idara na Vitengo wizarani humo. Zawadi hiyo ya kushtukiza iliandaliwa na
viongozi hao wa Idara baada ya hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete
kumvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Katibu
Mkuu wao katika tukio lililofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara hiyo,
Lilian Mapfa, kulia ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Haji Janabi,
wapili kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Manunuzi, Manyama Mapesi.
(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi
(kulia) akimkabidhi zawadi ya ua Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak
Abdulwakil, kwa niaba ya Wakuu wa Idara na Vitengo wizarani humo. Zawadi
hizo za kushtukiza ziliandaliwa na viongozi hao baada ya hivi karibuni
Rais Jakaya Kikwete kumvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema
Daraja la (I), Katibu Mkuu wao katika tukio lililofanyika Ikulu, jijini
Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi
(kulia) akimkabidhi zawadi ya kitabu cha kutunzia kumbukumbu, Katibu
Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kwa niaba ya Wakuu wa Idara na
Vitengo wizarani humo. Zawadi hizo za kushtukiza ziliandaliwa na
watendaji hao baada ya hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete kumvisha
Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Katibu Mkuu wao
katika tukio lililofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mswala wa kuswalia, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kwa niaba ya Wakuu wa Idara na Vitengo wizarani humo. Zawadi hizo za kushtukiza ziliandaliwa na watendaji hao baada ya hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete kumvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Katibu Mkuu wao katika tukio lililofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:
Post a Comment