Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein akipokea gwaride maalum lililoandaliwa na jeshi la Polisi kabla ya
kulivunja Baraza la Nane la Wawakilishi, Chukwani Wilaya ya Magharib
‘B’, Kisiwani Unguja leo. (Picha zote na Haroub Hussein).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein akikagua gwaride lililoandaliwa na jeshi la Polisi kabla ya
kulivunja baraza la nane la Wawakilishi, Chukwani Wilaya ya Magharib
‘B’. (Picha zote na Haroub Hussein).
Askari Polisi wakiwa katika gwaride walilomuandalia Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein wakati
akilivunja baraza la nane la Wawakilishi ,Chukwani Chukwani Wilaya ya
Magharib ‘B’.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein akiwahutubia Wawakilishi katika hafla ya kulivunja Baraza la nane
la Wawakilishi baada ya kumaliza muda wake wa miaka mitano, hafla hiyo
ilifanyika katika ukumbi wa baraza hilo uliopo Chukwani Wilaya ya
Magharib ‘B’.
Mawaziri mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein wakati akilivunja Baraza la nane la Wawakilishi , Chukwani Wilaya
ya Magharib ‘B’
Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho akimkaribisha Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuhutubia Baraza la
nane la Wawakilishi na kulivunja baada ya kumaliza muda chake wa miaka
mitano.
Wawakilishi mbalimbali wakiwa katika baraza hilo, chukwani Wilaya ya
Magharib ‘B’ wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein wakati akilivunja Baraza la nane la
Wawakilishi.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mama
Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akiwa na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar, Mama Asha Suleiman Idd (wa kwanza kulia) wakifuatilia
hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali
Mohamed Shein wakati akilivunja Baraza la nane la Wawakilishi ,
Chukwani Wilaya ya Magharib ‘B’
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliopo Zanzibar wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein wakati akilivunja Baraza la nane la Wawakilishi , Chukwani Wilaya
ya Magharib ‘B’
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein akiwahutubia Wawakilishi katika hafla ya kulivunja Baraza la nane
la Wawakilishi baada ya kumaliza muda wake wa miaka mitano, hafla hiyo
ilifanyika katika ukumbi wa baraza hilo uliopo Chukwani Wilaya ya
Magharib ‘B’.
Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu (kulia) akifuatilia hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, DK. Ali Mohamed Shein wakati akilivunja Baraza la nane la Wawakilishi baada ya kumaliza muda wake. Anaefuatia Spika wa Baraza hilo , Pandu Ameir Kificho.
No comments:
Post a Comment