Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel Sitta (Mb) akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jenenerali Mbazi Msuya alipokua akiwasili kwenye viwanja vya Tangamano mjini Tanga wakati wa maonyesho ya Wiki ya Mazingira Duniani Juni 3, 2015.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jenerali Mbazi Msuya Akitoa maelezo ya moja ya DVD ya majanga mbalimbali ya maafa kwa mgeni rasmi Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel Sitta alipo tembelea banda la Ofisi ya waziri Mkuu Idara ya Uratibu wa maafa kwenye viwanja vya Tangamano mjini Tanga Juni 3, 2015.
No comments:
Post a Comment