Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akishuka kwenye basi katika Kituo cha Msamvu, Morogoro, kwenda kuwasalimia wananchi, akiwa safarini kwenda Kanda ya Ziwa kufanya ziara katika mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza, ambako atafanya kazi ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguziya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akishuka kwenye basi maalumu kwa ajili ya kwenda Kanda ya Ziwa kuiumarisha uhai wa chama.
Komredi Kinana akisalimiana na wafuasi wa chama hicho pamoja na wananchi alipowasili Msamvu, Morogoro.
Basi maalumu analoswafiri nalo Komredi Kinana kutoka Dar kwenda katika ziara katika mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza, kuhitimisha ziara yake ya nchi nzima. (Picha zote na Kamanda Richard Mwaikenda wa Kamanda wa Matukio blog)
Wafuasi wa CCM wakishangilia kwa furaha wakati Komredi Kinana akihutubia eneo la Msamvu, mjini Morogoro.
Nape akihutubia wananchi eneo la Msamvu Morogoro.
Komredi Kinana akihutubia wananchi katika Kituo cha Mabasi cha Msamvu, Morogoro, ambapo aliwataka wananchi kuacha tabia ya kuwashabikia wagombea urais kupitia chama hicho, bali wawapime endapo wana uwezo wa kuongoza nchi kwa kuwatatulia changamoto zinazowakabili.
Komredi Kinana akiwaslkamia wananchi alipowasili mjini Dodoma akiwa njiani kwenda mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Komredi Kinana akihutubia katika Kituo cha mabasi mjini Dodoma, ambapo aliwataka makondakta na madereva kujitokeza kuwania nafasi za udiwani na ubunge kupitia chama hicho.
Wasanii wakimlaki Komredi Kinana mjini Singida.
Komredi Kinana akiwasalimia wananchi alipowasili mjini Singida.
Nape akiwasalimia wananchi mjini Singida.
Komredi Kinana akihutubia mjini Singida.
Komredi Kinana akisalimiana na Mbunge wa Nzega, Hamis Kigangwala alipowasili mjini Nzega.
Wananchi wakiwa wamemzonga Komredi Kinana wakimuuliza maswali wengine kutaka kumsalimia.
Komredi Kinana akilakiwa na viongozi wa CCM wilayani Kahama.

No comments:
Post a Comment