TANGAZO


Wednesday, June 3, 2015

Baadhi ya watangaaza Nia ya kugombea Urais kupitia CCM wachukua fomu za kuomba kuteuliwa

Mwanachama mtangaza nia ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephan Wasira akikabiziwa fomu na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, Idara ya Oganizesheni, Dkt. Seif Khatib katika ukumbi wa White House, mjini Dodoma leo. (Picha zote na John Banda, Dodoma) 
Mwanachama mtangaza nia ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Mark Mwandosya akikabiziwa fomu na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, Idara ya Oganizesheni, Dkt. Seif Khatib katika ukumbi wa White House, mjini Dodoma leo  
Mwanachama mtangaza nia ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Amina Salim Ali akikabiziwa fomu na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, Idara ya Oganizesheni, Dkt. Seif Khatib katika ukumbi wa White House, mjini Dodoma leo  
Mwanachama mtangaza nia ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makongoro Nyerere, akikabiziwa fomu na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, Idara ya Oganizesheni, Dkt. Seif Khatib katika ukumbi wa White House, mjini Dodoma leo.
Balozi Amina Salim Ali, akizionesha fomu zake alizokabidhiwa. 
Stephan Wasira, akizionesha fomu zake alizokabidhiwa.  
Profesa Mark Mwandosya, akizionesha fomu zake alizokabidhiwa. 
Profesa Mark Mwandosya, akizionesha fomu zake alizokabidhiwa.  
Makongoro Nyerere, akizionesha fomu zake alizokabidhiwa. 
Makongoro Nyerere, akizionesha fomu hizo, alizokabidhiwa. 
Balozi Amina Salim Ally, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa fomu zake hizo. 
Stephan Wasira, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa fomu zake hizo. 
Stephan Wasira, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa fomu zake hizo.
Profesa Mark Mwandosya, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kukabidhiwa fomu zake hizo.
Makongoro Nyerere, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa fomu zake hizo.

No comments:

Post a Comment