TANGAZO


Sunday, May 3, 2015

SSRA yashiriki maonesho ya Siku ya Usalama na Afya mahala pa kazi, mjini Dodoma

Ofisa Mwandamizi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Utawala na Rasilimaliwatu, Amina Ally, akimkaribisha Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho ya Siku ya Usalama na Afya mahala pa kazi mjini Dodoma, iliyofanyika kuanzia 26 - 28 April 2015. 
Ofisa Mwandamizi wa Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Fulgence Sebera, akimkaribisha Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho ya Siku ya Usalama na Afya mahala pa kazi mjini Dodoma, iliyofanyika kuanzia 26 - 28 April 2015.
Ofisa Mwandamizi wa Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA SSRA, Fulgence Sebera, akimpatia zawadi Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk.Makongoro Mahanga, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo katika maonesho hayo, mjini Dodoma, yaliyofanyika kuanzia 26 - 28 April 2015.
Ofisa Mwandamizi, Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Fulgence Sebera, akimweleza jambo Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, wakati alipotembelea banda la mamlaka hiyo, katika maonesho hayo, yaliyofanyika kuanzia 26 - 28 Aprilp 2015, mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga (kulia), akifurahia jambo wakati akiondoka kwenye banda la mamlaka hiyo katika maonesho hayo, mjini Dodoma, yaliyofanyika kuanzia  26 - 28 April 2015.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Nicholas Mgaya (kushoto), akisalimiana na Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), mjini Dodoma, wakati wa maonesho hayo yaliyofanyika kuanzia 26 - 28 Aprili 2015.
Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakimpatiia zawadi Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi nchini (TUCTA) Nicholas Mgaya (kushoto), wakati alipotembelea kwenye banda la mamlaka hiyo, kwenye maonesho hayo, yaliyofanyika kuanzia 26 - 28 Aprili 2015.
Ofisa Mwandamizi wa SSRA, Utawala na Rasilimali watu, Amina Ally, akiwahudumia wananchi waliofika kwenye banda hilo la Mamlaka hiyo, katika maonesho hayo, mjini Dodoma.
Ofisa Mwandamizi wa SSRA, Utawala na Rasilimali watu, Amina Ally, akiwahudumia wananchi waliofika kwenye banda hilo la Mamlaka hiyo, katika maonesho hayo, mjini Dodoma.
Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), wakiwa kwenye maonesho hayo kwa ajili ya kuwapatia wananchi huduma mbalimbali ziolewazo na mamlaka .hiyo.
Wananchi wakichukua vipeperushi kwenye banda la Mamlaka hiyo, wakati wa maonesho hayo.

No comments:

Post a Comment