TANGAZO


Sunday, May 3, 2015

Mahafali ya Nne ya Chuo cha Walimu wa Shule za Awali cha New Montessori Teachers Collage yafana

Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Chuo hicho, Denis Msangi akizungumza na wahitimu katika mahafali hayo yaliyofanyika Shule ya Msingi ya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Chuo hicho, Denis Msangi (kushoto), akizungumza katika mahafali hayo.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Haris Kapiga akisisitiza jambo wakati akizungumza na wahitimu hao wapatao 45.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hildelly Solution (T) Ltd, Hilda Ngaga, akizungumza katika mahafali hayo.
Wahitimu wakiwa katika mahafali hayo.


Wageni waalikwa na ndugu na jamaa wa wahitimu hao wakifuatilia kwa karibu matukio yote katika mahafali hayo.
 Wahitimu.


Katibu Muhtasi wa Chuo hicho, Shakila Ramadhan akizungumza na wahitimu hao.
Muhitimu Crasiana Laurence akikata keki maalumu ya 
mahafali hayo.
Mgeni rasmi, Haris Kapiga akimkabidhi cheti mmhitimu, 
Violet William.
Mgeni rasmi, Haris Kapiga akimkabidhi cheti muhitimu, 
Edina Adamu.
Wahitimu wa Chuo cha Ualimu wa Shule za Awali katika chuo cha New Montesorri wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chuo hicho pamoja na wageni waalikwa huku wakiwa na vyeti vyao kwenye mahafali ya nane ya chuo hicho yaliyofanyika Dar es Salaam jana. (Imeandaliwa na Dotto Mwaibale)

No comments:

Post a Comment