Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, walipokutana na kufanya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, kwa ajili ya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad baada ya kufanya naye mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment