Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani
Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa
Ofisi ya Rais-Utumishi wakitoa salamu kwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya
Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wakiimba
wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi,
2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Ofisi ya
Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya
Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment