TANGAZO


Monday, May 4, 2015

Ofisi ya Rais-Utumishi Umma waadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani Mei Mosi, 2015 jijini Dar es Salaam

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakitoa salamu kwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 
Wafanyakazi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment