Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika
Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Servicus B. Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
na Mlipaji Mkuu wa Serikali, akiteta jambo na Mawaziri wa Fedha mbalimbali
waliohudhuria mkutano huo Mjini
Abijah-Ivory coast.
Baadhi ya Marais wa
Afrika waliohudhuria mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya Benki ya Maendeleo
ya Afrika (AfDB) Mjini Abijah-Ivory Coast.
Rais wa Benki wa Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt.
Donald Kaberuka akiwa kwenye kikao na Magavana wa Afrika wakijadiliana
changamoto mbalimbali za maendeleo zilizojitoketeza katika nchi za Afrika Mjini
Abijah- Ivory coast.
Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika
Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
na Mlipaji Mkuu wa Serikali akisikiliza majadiliano kwenye kikao cha magava wa
nchi za Afrika wakati wa kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo Mjini
Abijah-Ivory.
Gavana wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya Afrika, ambaye pia ni Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servicus B.Likwelile akiwa na ujumbe kutoka
Tanzania waliohudhuria mkutano wa majadiliano pamoja na
Mkurugenzi Mkuu Bw. Gabrriel Negatu wa
Benki ya Maendeleo ya Afrika Abijah-Ivory coast.
Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika
Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
na Mlipaji akitoa ufafanuzi kwa Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Ngosha Magonya
akiwa pamoja na Afisa Mwandamizi Bw.
John L. Sima Mjini Abijah-Ivory Coast.
Kamishina wa Fedha za Nje Bw. Ngosha Magonya
akitoa ufafanuzi wa maswala mbalimbali yanayohusu Benki ya Maendeleo ya Afrika katika miradi mbalimbali ya
Tanzania Mjini Abijah- Ivory Coast. Aliyekushoto kwake ni Gavana wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya
Afrika, Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye
Kamisha wa Fedha za Nje wa Zanzibar Bi. Bihindi
N. Khatibu akiwa kwenye mkutano siku ya kufunga kwa mkutano wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB)Mjini Abidjan-Ivory Coast.
Rais Mpya wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina akihutubia na kutoa shukrani kwa wajumbe kwa kuchanguliwa
kuwa rais wa benki hiyo Mjini Abidjan-Ivory Coast.
Rais Mpya wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
Dkt. Akinwumi Adesina akiwa pamoja na baadhi ya Marais kutoka Benki ya
Maendeleo ya Afrika AfDB, Mjini Abidjan-Ivory Coast.(Picha zote na Scola
Malinga-Abidjan).
No comments:
Post a Comment