Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) na Kaimu Mkuu wa Idara ya Tiba na Upasuaji wa Kitengo hicho, Dk. Peter Kisenge akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), matumizi ya mirija ya Plastiki (Catheter), unavyo fanya kazi wakati wa Oparesheni hiyo, Dar es Salaam leo.
Daktari Benher Wankede (katikati), ambaye ni Mtaalamu wa ufundi akiendesha mashine hiyo, ikiwa na mgonjwa ambaye alijulikana kwa jina la Aikande Zakaria, wakati wa Oparesheni hiyo, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Polycarp France na kulia ni Ofisa Muuguzi wa hospitali hiyo, Joyce Nnembuka. (Picha zote na Khamisi Mussa)
No comments:
Post a Comment