TANGAZO


Thursday, April 30, 2015

Wataalamu wa kujitolea kutoka nchini Japani wakaribishwa nchini

Mtaalamu wa kujitolea kutoka nchini Japani Bw. Shota Yanagisawa (aliyesimama) akijitambulisha kwa Kaimu Katibu Mkuu - Utumishi Bw. HAB Mkwizu katika hafla fupi ya kukaribishwa nchini iliyofanyika Utumishi mapema leo. 
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto) akiwakaribisha wataalamu wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kuja kujitambulisha Utumishi mapema leo. 
Wataalamu wa kujitolea kutoka nchini Japani wakishukuru baada ya kukaribishwa mapema leo. 
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia) akiagana na Wataalamu wa kujitolea kutoka nchini Japani baada ya hafla fupi ya kuwakaribishailiyofanyika Utumishi mapema leo.

No comments:

Post a Comment