*Yaendelea michuano ya kufuzu kwa michuano ya Afrika 2015
Watanzania wakifuatilia timu yao ya Twiga Stars, wakati ilipokuwa ikipambana na She-Polopolo ya Zambia katika mchezo wa kufuzu kwa michuano ya Afrika 2015, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Asha Rashid wa Twiga Stars, akiumiliki mpira huku akifuatwa na Meya Banda, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Ubao ukionesha Twiga Stars bao 1 na She-Polopolo 0.
Mwanahamisi Shurua wa Twiga Stars, akiwa na mpira huku akifuatwa na Meya Banda, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Mwanahamisi Shurua wa Twiga Stars, akiwa na mpira huku akifuatwa na Meya Banda, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Mwanahamisi Shurua wa Twiga Stars, akiupiga mpira huku akifuatwa na Meya Banda wa She-Polopolo ya Zambia, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Golikipa wa She-Polopolo ya Zambia, akiruka juu kuuondoa mpira katika hatari, wakati ulipoelekezwa kwenye lango hilo, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Mwanahamisi Shurua wa Twiga Stars, akijaribu kumpiga chenga Meya Banda wa She-Polopolo, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Mwanahamisi Shurua wa Twiga Stars, akiwa na mpira huku akifuatwa na Meya Banda wa She-Chpolopolo wakati wa mchezo huo jijini leo.
Mwanahamisi Shurua wa Twiga Stars, akiwa na mpira huku akifuatwa na Meya Banda, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Shelder Boniface wa Twiga Stars, akimtoka na Meya Banda, wakati wa mchezo huo jijini leo.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya wasichana, Twiga Stars wakishangilia bao la pili la timu hiyo, wakati wa mchezo dhidi ya She-Polopolo ya Zambia katika mchezo wa kufuzu kwa michuano ya Afrika, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. She-Polopolo ilishinda kwa mabao 3-2. Twiga Stars imeiondoa She-polopolo kwa jumla ya mabao 6-5 baada ya kushinda mabao 4-2 nchini Zambia katika mchezo wa awali.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya wasichana, Twiga Stars wakishangilia bao la pili la timu hiyo, wakati wa mchezo huo, dhidi ya She-Polopolo ya Zambia, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. She-Polopolo ilishinda kwa mabao 3-2. Twiga Stars imeiondoa She-polopolo kwa jumla ya mabao 6-5 baada ya kushinda mabao 4-2 nchini Zambia katika mchezo wa awali.
Ubao wa matangazo ukionesha Twiga Stars mabao 2 na She-Polopolo 0.
Asha Rashid wa Twiga Stars akiwania mpira na Lweendo Chisamu wa She-Polopolo.
Asha Rashid wa Twiga Stars na Lweendo Chisamu wa She-Polopolo, akiwania mpira, wakati wa mchezo huo.
Kikundi cha ushangiliaji cha Tanzania kikiishagilia timu ya Twiga Stars wakati wa mchezo dhidi ya She-Polololo ya Zambia, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Kikundi cha ushangiliaji cha Tanzania kikiishagilia timu ya Twiga Stars wakati ilipocheza na na She-Polololo ya Zambia, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Hadi mapumziko Twiga Stars ilikuwa ikiongoza kwa mabao 2 na She-Polopolo 0.

No comments:
Post a Comment