*Mshindi wa kwanza wa droo apatikana
*Ni Mwalimu Kasuku Mlaki, miaka 44, mkazi wa Tanga
Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif (wa kwanza kulia) akifuatilia kwenye luninga droo ya bahati nasibu ya kwanza ya kujishindia pikipiki nasibu iliyochezeshwa na kampuni hiyo katika duka lao lililopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Wakifuatilia kwa makini zoezi hilo kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa, Mrisho Milao na katikati ni Msimamizi wa Mfumo wa Kompyuta wa kampuni hiyo, Laurant Zhang. Wateja wa StarTimes wanatakiwa kujiunga na kifurushi chochote cha malipo cha kuanzia shilingi 10,000 tu na zaidi ili kuibuka washindi.
Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa, Mrisho Milao (wa kwanza kulia) akifuatilia droo ya kwanza ya bahati nasibu ya kujishindia pikipiki iliyochezeshwa na kampuni ya StarTimes Tanzania katika duka lao lililopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam. Akifuatilia zoezi hilo ni Msimamizi wa Mfumo wa Kompyuta, Laurant Zhang na Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif. Wateja wa StarTimes wanatakiwa kujiunga na kifurushi chochote cha malipo cha kuanzia shilingi 10,000 tu na zaidi ili kuibuka washindi.
Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif akimpigia simu mshindi wa kwanza wa droo ya bahati nasibu iliyochezeshwa na kampuni hiyo katika duka lao lililopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam leo, Bw. Kasuku Mlaki, ambaye ni Mwalimu wa Shule, mwenye umri wa miaka 44, mkazi wa Tanga. Akifuatilia kwa makini zoezi hilo kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa, Mrisho Milao. Wateja wa StarTimes wanatakiwa kujiunga na kifurushi chochote cha malipo cha kuanzia shilingi 10,000 tu na zaidi ili kuibuka washindi.
Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif akizungumza kwa njia ya simu na mshindi wa kwanza wa droo ya bahati nasibu iliyochezeshwa na kampuni hiyo katika duka lao lililopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam leo, Bw. Kasuku Mlaki, ambaye ni Mwalimu wa Shule, mwenye umri wa miaka 44, mkazi wa Tanga. Akifuatilia kwa makini zoezi hilo kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa, Mrisho Milao. Wateja wa StarTimes wanatakiwa kujiunga na kifurushi chochote cha malipo cha kuanzia shilingi 10,000 tu na zaidi ili kuibuka washindi.
Makamu wa Rais wa StarTimes Tanzania, Zuhura Hanif akimpigia simu mshindi wa kwanza wa droo ya bahati nasibu iliyochezeshwa na kampuni hiyo katika duka lao lililopo Bamaga-Mikocheni jijini Dar es Salaam leo, Bw. Kasuku Mlaki, ambaye ni Mwalimu wa Shule, mwenye umri wa miaka 44, mkazi wa Tanga. Akifuatilia kwa makini zoezi hilo kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Taifa, Mrisho Milao. Wateja wa StarTimes wanatakiwa kujiunga na kifurushi chochote cha malipo cha kuanzia shilingi 10,000 tu na zaidi ili kuibuka washindi.

No comments:
Post a Comment