Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete azindua Meli Vita za Jeshi la Wanamaji
Askari wa Jeshi la Wanamaji wakiwa juu ya Meli Vita 2, kushoto TNS Msoga na kulia TNS Mwitongo. Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi mbalimbali baada ya kutembelea meli hizo.
No comments:
Post a Comment