Wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani wakipiga makofi kumshukuru Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi mara baada ya kuwakaribisha nchini kufanya kazi sekta mbalimbali.
Sehemu ya wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliokuja nchini kutoa huduma kwa kujitolea katika maeneo mbalimbali wakitoka nje ya Ofisi ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha nchini.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (wa nne toka kushoto)
akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani
waliokuja kwa ajili ya kutoa huduma katika maeneo mbalimbali nchini.
No comments:
Post a Comment