Muonekano wa Kanisa la Azania Front.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa (kulia), akimkaribisha Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck alipofika kutembela kanisa hilo Dar es Salaam leo jioni.
Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akisalimiana na Mama Anna Mkapa baada ya kuwasili kanisani hapo.
Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck (katikati), akisaini baada ya kufika kanisani hapo.
Wanakwaya wakitumbuiza.
Rais Gauck akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa kanisa hilo pamoja na waumini. (Imeandaliwa na Dotto Mwaibale wa www.habari za jamii.com)
No comments:
Post a Comment