TANGAZO


Saturday, February 28, 2015

Mkoa wa Dodoma wapokea nakala 61,290 za Katiba Inayopendekezwa kwa ajili kuzigawa kwa wananchi

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu kupokea nakala 61,290 za Katiba Inayopendekezwa na maendeleo ya usambazaji wake kwa wananchi, mkoani Dodoma leo. (Picha na John Banda)
Waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (hayupo pichani), Chiku Galawa, mjini Dodoma leo, wakati akielezea kuhusu kupokea nakala 61,290 za Katiba Inayopendekezwa na pia usabazaji wake kwa wananchi.

No comments:

Post a Comment