Meneja wa Kitengo cha maafa wa Mfuko wa jamii (LAPF) Abubakari Ndwata akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wiliya ya Mpwapwa msaada wa mabati 92 yenye thamani ya 2 mil. kwa ajili ya kuezekekea Bweni la wasichana wa shule ya Sekondari Mpwapwa baada ya lililokuwepo kuungungua na moto hivi karibuni.
Maofisa wa LAPF wakiongozana na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa walipoitembelea Shule ya Sekondari ya Mpwapwa na kujionea namna ilivyoongua na moto uliozuka hivi karibuni kabla ya kutoa msaada wa Mabati 92 kwa ajili ya kuewzekea itakayojengwa.
Viongozi hao wakiangalia mabaki ya wanafunzi wa kike wa Shule ya sekondari Mpwapwa yaliyozagaa baada ya Bweni lao kuungua na moto hivi karibuni.
Mabaki ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Mpwapwa baada ya kuungua.
Mabaki ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Mpwapwa baada ya kuungua.
Mkuu wa shule ya Sekondari Mpwapwa Nelson Milanzi akisoma taarifa mbele ya maofisa toka LAPF kuhusu Bweni la wasichana 84 wa shule ya sekondari Mpwapwa lilivyoungua na namna wadau mbalimbali wanavyoendelea kutoa misaada ambapo Mfuko wa Jamii LAPF walitoa Bati 92.
Wageni mbalimbali wakiangalia jengo hilo lilivyoungua. (Picha zote na John Banda)
No comments:
Post a Comment