TANGAZO


Saturday, February 28, 2015

Maofisa wa Ofisi ya Rais - Utumishi wakiwa katika kikao kazi kwa njia ya video (Video Conference) kati ya Utumishi na mikoa ya Mtwara, Lindi, Kilimanjaro na Dodoma

Baadhi ya maofisa wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa katika kikao kazi kwa njia ya video (Video Conference) kilichofanyika kwa kuunganisha mikoa ya Mtwara, Lindi, Kilimanjaro  na Dodoma. 
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu (wa pili kutoka kushoto), akiongoza kikao kazi kwa njia ya video (Video Conference) kilichofanyika kati ya Utumishi na mikoa ya Mtwara, Lindi, Kilimanjaro na Dodoma.  
Maofisa wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa katika kikao kazi kwa njia ya video (Video Conference) kati ya Utumishi na mikoa ya Mtwara, Lindi, Kilimanjaro na Dodoma. Uendeshaji wa vikao kwa njia ya mtandao umepunguza gharama na muda uliokuwa unatumika kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

No comments:

Post a Comment