TANGAZO


Monday, January 19, 2015

Ziara ya Kinana ya kuimarisha uhai wa Chama na kukagua miradi ya maendeleo kisiwani Unguja

Kinana akimtwisha ndoo ya maji Khadija Issa Kibwan baada ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kijiji cha Mbuzini, Jimbo la Mfenesini, Unguja.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinan, akiangalia mazao ya vanila alipotembea shamba la Spice Solution katika Jimbo la Mfenesini, Unguja, wakati  wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inaotelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar jana. 
 Kinana akiongoza kupanda miti katika shamba la Spice Solution, Jimbo la Mfenesini, kisiwani unguja jana.
Kinana akiwa amevalia kofia na tai za mapakacha baada ya kutembelea shamba la viungo mbalimbali vya vyakula la Spice eneo la Mfenesini, Unguja jana.
Kinana akimvisha mtoto nguo aliyoinunua alipokuwa akikagua kazi za kikundi cha akina mama cha Mweye kusubiri hachoki, katika Tawi la Mtopeka, Jimbo la Mtoni. Mjini Unguja jana. (Picha zote na Richard Mwaikenda)

No comments:

Post a Comment