TANGAZO

Sunday, January 11, 2015

Wenyeviti wafundwa, Wachagua viongozi wa Umoja wao Manispaa ya Dodoma

Wenyeviti wa Mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Dodoma wakifuatilia jambo walipokuwa kwenye mkutano wao wa kuchagua viongozi wa umoja wao, uliofanyaka katika Bwalo la Polisi mjini hapa. 
Naibu Meya wa manispaa ya Dodoma Jaffary Mwanyemba akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na Wenyeviti wa mitaa ya Miaspaa hiyowaliokutana kuchagua viongozi wa umoja wao. 
Wenyeviti wa Mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Dodoma wakifuatilia jambo walipokuwa kwenye mkutano wao wa kuchagua viongozi wa umoja wao, uliofanyaka katika Bwalo la Polisi mjini hapa.
Ofisa Tarafa wa tarafa ya mjini Ahmed Ismail akizungumza na wenyeviti wapya wa mitaa waliokuwa wakichagua uongozi wao katika bwalo la Polisi Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akiongea na wenyeviti wa Mitaa ya Manispaa hiyo kuhusu umuhimu wa Ulinzi na usalama katika mitaa yao. (Picha zote na John Banda)

No comments:

Post a Comment