TANGAZO


Saturday, January 10, 2015

Ufunguzi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU), Hospitali ya Mnazi Mmoja

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi mdogo wa China aliyepo Zanzibar Bw. Xie Yun Liang, wakifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea wodi mpya ya wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja, baada ya kuifungua rasmi.Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Afya Mbweni, wakiwa sehemu ya washiriki katika hafla ya ufunguzi wa wodi ya wagonjwa mahututi katika hospitali ya Mnazi mmoja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja.Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dk. Mohamed Saleh Jidawi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akigana  na Balozi mdogo wa China aliyepo Zanzibar Bw. Xie Yun Liang, baada ya kumalizika hafla ya ufunguzi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya Mhe. Rashid Seif Suleiman. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment