TANGAZO

Wednesday, January 14, 2015

Timu ya Simba yawasili jijini Dar es Salaam na Kombe la Mapinduzi

Kombe jipya la Ubingwa wa mashindano ya Mapinduzi, lililotwaliwa na Simba baada ya kuifunga Mtibwa kwa mikwaju ya penalti, Uwanja wa Amaan Mjini Unguja usiku wa kuamkia leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wachezaji wa Simba wakiwa na Kombe la Ubingwa wa Mapinduzi, baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam leo, wakitokea Zanzibar, walikolitwaa baada ya kuwafunga Mtibwa Sugar kwa mikwaju ya penalti 4-3 katika mchezo wa fainali, uliochezwa usiku wa kuamkia leo, Uwanja wa Amaan mjini Unguja.
Wachezaji wa Simba wakiwa na Kombe hilo la Ubingwa wa Mapinduzi, baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam leo, wakitokea Zanzibar, walikolitwaa baada ya kuwafunga Mtibwa Sugar ya Morogoro kwa mikwaju ya penalti 4-3, Uwanja wa Amaan mjini Unguja.
Wachezaji wa Simba wakiwa na Kombe hilo la Ubingwa wa Mapinduzi, baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam leo, wakitokea Zanzibar, walikolitwaa baada ya kuwafunga Mtibwa Sugar kwa mikwaju ya penalti 4-3.
Wachezaji wa Simba wakiwa wamelishikilia Kombe la Ubingwa wa Mapinduzi, baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam leo, wakitokea Zanzibar, walikolitwaa baada ya kuwafunga Mtibwa Sugar kwa mikwaju ya penalti 4-3 katika mchezo wa fainali, uliochezwa usiku wa kuamkia leo, Uwanja wa Amaan mjini Unguja. 
Wachezaji wa Simba na mashabiki wakiwa na Kombe la Ubingwa wa Mapinduzi, baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam leo, wakitokea Zanzibar, walikolitwaa baada ya kuwafunga Mtibwa Sugar kwa mikwaju ya penalti 4-3 katika mchezo wa fainali, uliochezwa usiku wa kuamkia leo, Uwanja wa Amaan mjini Unguja.

Mashabiki wa Simba, wakiwa na Kombe la Ubingwa wa Mapinduzi, lililotwaliwa na timu hiyo, baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam leo, wakitokea Zanzibar, walikolitwaa baada ya kuwafunga Mtibwa Sugar kwa mikwaju ya penalti 4-3 katika mchezo wa fainali, uliochezwa usiku wa kuamkia leo, Uwanja wa Amaan mjini Unguja.
Golkipa wa Simba, Ivo Mapunda akizungumza na waandishi wa habari, mara timu hiyo ilipowasili jijini Dar es Salaam leo, ikitokea Zanzibar, iliko twaa Kombe la Mapinduzi, usiku wa kuamkia leo, Uwanja wa Amaan ilipoifunga Mtibwa Sugar kwa mjkwaju ya penalti 4-3.

No comments:

Post a Comment