Wachezaji wa timu ya Taifa ya Jangombe wakipasha misuli kabla ya mchezo wao wa Robo Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. (Picha zote kwa hisani ya ZanziNews Blog)
Wachezaji wa timu ya Simba wakipasha misuli kabla ya mchezo wao wa Robo Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mgeni rasmin katika mchezo wa Robo Fainal ya Kombe la Mapinduzi Jaji Mkuu, Mhe. Omar Othman Makungu, akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Michuano ya Mapinduzi Cup, Bi. Shery Khamis wakienda kukagua timu kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa Robo Fainal kati ya Timu ya Simba na Taifa ya Jangombe.
Jaji Mkuu, Mhe. Omar Othman Makungu, akisalimiana na wachezaji wa Taifa ya Jangombe.
Wachezaji wa Simba, wakisalimiana na wa Taifa ya Jangombe kabla ya mchezo wao.
Kikosi cha timu ya Simba kikipiga picha ya kumbukumbu.
Kikosi cha timu ya Taifa ya Jangombe kikipiga picha ya kumbukumbu.
Elius Maguri wa Simba (kushoto), akiwania mpira na mchezaji wa Taifa ya Jangombe katika mchezo huo wa Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi.
Elius Maguri wa Simba (kushoto), akimtoka mchezaji wa Taifa ya Jangombe.
Elius Maguri wa Simba (kushoto), akimtoka mchezaji wa Taifa ya Jangombe.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akipiga mpira huku golikipa wa Taifa ya Jangombe, akiruka kujaribu kuuzuiya.
Dan Sserunkuma wa Simba (kushoto), akitafuta mbinu ya kumpita mchezaji wa Taifa ya Jangombe.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akiwania mpira ma mchezaji wa Taifa ya Jangombe.
Ramadhan Singano 'Messi' wa Simba, akiwekwa chini mchezaji wa Taifa ya Jangombe.
Benchi la timu ya Taifa ya Jangombe.
Mchezaji wa Taifa ya Jangombe, akitafuta mbinu ya kumtoka Dan Sserunkuma wa Simba.
Mchezaji wa Taifa ya Jangombe, akiwania mpira na Dan Sserunkuma wa Simba.
Wachezaji wa Taifa ya Jangombe, wakizonga mwamuzi wa mchezo huo.
Wachezaji wa Simba wakishangilia moja ya bao lao. |
No comments:
Post a Comment